Thursday, April 25, 2013

YALIYOJIRI KWENYE ACADEMY YA KILI MUSIC AWARDS 2013

Wajumbe wa academy, wakiwa watulivu, wakati wa majadiliano, upigaji kura na upitishaji wa majina ya wawania tuzo.
Mdau wa siku nyingi wa muziki Tanzania, Said Mdoe (kushoto) akifuatilia jambo, wakati wa academy. Kulia ni mjumbe mwingine wa academy.…
Wajumbe wa academy, wakiwa watulivu, wakati wa majadiliano, upigaji kura na upitishaji wa majina ya wawania tuzo.
Mdau wa siku nyingi wa muziki Tanzania, Said Mdoe (kushoto) akifuatilia jambo, wakati wa academy. Kulia ni mjumbe mwingine wa academy.
Wana-academy, DJ Nelly (kushoto), DJ Kim (katikati) na DJ Ibra, wakifanya yao wakati wa academy.
Mtangazaji wa Clouds FM, program ya Amplifier, Millard Ayo, akihusika kivyake wakati wa academy hiyo ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA).
Watangazaji, Sam Misago wa EATV na Radio (kushoto), Salma Msangi (katikati) na Mwanahamisi Mwenda (Mishi B), ni miongoni wa wadau waliohusika kikamilifu kufanya uteuzi.
Watangazaji wa Clouds FM, hususan program ya Leo Tena, mama wa Hekaheka, Gea Habib (kushoto) na Dina Marious, walifanikisha kwa namna kubwa uteuzi wa nominees wa mwaka 2012-2013.
Wajumbe wa academy, vilevile wakiwa wajumbe wa kamati elekezi ya academy kupata nominees wa 2012-2013, Musa Kipanya (kushoto) na Anna Peter, wakiteta jambo wakati academy ikiendelea.
Mtangazaji Hamis Mandi ‘B 12’ wa XXL ya Clouds FM, naye alikuwepo kama mjumbe wa academy kufanikisha uteuzi wa wawania tuzo.
Taarab ni muziki mkubwa unaothaminiwa na KTMA, huyu hapa ni mdau wa Taarab, Khadija Shaibu ‘Dida’ ambaye ni mtangazaji wa Times FM.
Wana academy, Mtangazaji wa ITV/Radio One, Salma Dakota (kushoto), Potipoti (katikati) na Sauda Mwilima wa Star TV/Radio Free Africa.
Mtangazaji wa program ya Mikasi na Jaji wa Bongo Star Search, Salama Jabir (kushoto), One B (kulia), wakiwa na mwana-academy mwenzao.


Picha kwa hisani ya:  http://www.globalpublishers.info/

No comments:

Post a Comment