Monday, April 29, 2013

ULANZI HUU


Juzi nilivyo kuwa Iringa nilikaribishwa huu nikaogopa kukimbiza Mwenge

Mbeta hizo za 'jamtuta' ndo ulanzi wenyewe huo


Mjasiriamali wa ulanzi akisambaza bidhaa kwa wateja


Muuzaji anapo amua kukata kiu mwenyewe