Monday, April 29, 2013

KIBISHI KIBISHI TUTAMALIZA L-Y

Photo: GONGA LIKE KAMA UMEPITIA HII.

==>ALAFU COMMENT kwa kuandika jina la shule ya msingi uliyosoma, na wasalimie washkaji zako wawili uliosoma nao darasa la kwanza!

LEGGOO!!
Makamanda wa baadae hawa hivyo hivyo wanalisongesha book katika mazingira ya kupata kifua na vikohozi vya kulazimishwa, kweli elimu inasakwa kwa kila aina mazingira miaka ijayo hawa watakuwa mawaziri wetu na watasahau huku waliko toka.

No comments:

Post a Comment