Makarani wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika ofisi ya kata
ya Kimandolu kutoka kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi
Kimandolu.
Polisi wakiimarisha ulinzi katika lango kuu la kuingilia kituo cha
kupigia kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu katika uchaguzi ulifanyika
jana mjini Arusha.…
Makarani
wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika ofisi ya kata ya
Kimandolu kutoka kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi Kimandolu.
Polisi wakiimarisha ulinzi katika lango kuu la kuingilia kituo cha
kupigia kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu katika uchaguzi ulifanyika
jana mjini Arusha.
Mkazi wa kata ya Kimandolu akichovya wino mara baada ya kukamilisha
zoezi la kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika jana katika kituo
cha kupigia kura cha ofisi ya kata.
Polisi wakimsihi Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari aondoke nje
ya kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu, pamoja na
makada wa CCM hawako pichani ambapo walitakiwa kukaa mita 200 badala ya
mita 100.
Makarani wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika ofisi ya kata
ya Kimandolu kutoka kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi
Kimandolu.
Mkazi wa Kata ya Kimandolu akitumbukiza kura yake wakati wa uchaguzi wa madiwani uliofanyika mjini Arusha.
Mkazi
wa Kimandolu, Juliana Mosha akitumbukiza kura yake katika sanduku la
kura katika uchaguzi wa madiwani uliofanyika jana kuziba nafasi ya
aliyekuwa diwani wa kata hiyo, zoezi hili lilifanyika katika kituo cha
kupigia kura cha ofisi ya kata.
Wakala wa chama cha siasa akihakiki kitambulisho cha mpiga kura kabla
ya kuruhusiwa kupiga kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo ya Kimandolu,
zoezi hili lilifanyika katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata.
Wakazi wa Kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini ili kufahamu
vyumba husika vya kupigia kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo
liliofanyika jana katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata.
Wakazi wa Kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini ili kufahamu
vyumba husika vya kupigia kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo
liliofanyika jana katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata.
Wakazi
wa Kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini ili kufahamu vyumba
husika vya kupigia kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika
jana katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata.
Wakazi
wa Kimandolu wakifuatilia majina yao kwa makini ili kufahamu vyumba
husika vya kupigia kura ya kumchagua diwani wa kata hiyo liliofanyika
jana katika kituo cha kupigia kura cha ofisi ya kata.
Polisi
akiwasogeza wananchi waliokuwa karibu na kituo cha kupigia kura cha
Shule ya msingi Kimandolu ambapo walitakiwa kukaa umbali wa mita 200 na
sio mia 100 kama ilivyozoeleka.
Chanzo: http://dj-sek.blogspot.com
Makarani
wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika ofisi ya kata ya
Kimandolu kutoka kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi Kimandolu.
No comments:
Post a Comment