RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO TOKA KWA MABALOZI WA BANGLADESH, SLOVAK, UGIRIKI NA KUWAIT LEO
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Balozi wa Ugiriki nchini Mhe
Elefthereios Kouvaritakis baada ya kupokea hati zake za utambulisho na
kisha kufanya naye mazungumzo leo April 25, Ikulu jijini Dar es salam
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Katibu Mkuu wa Wizara ya mambo
ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa Bw John haule kwa Balozi wa
Bangladesh nchini Mhe Wahidur Rahman baada ya kupokea hati zake za
utambulisho na kisha kufanya naye mazungumzo leo April 25, Ikulu jijini
Dar es…
No comments:
Post a Comment