Monday, November 4, 2013
Sunday, November 3, 2013
KIJANA AJINYONGA KUKWEPA MTIHANI KIDATO CHA 4
Mwanafunzi aliyekuwa akisubiri
kufanya mtihani wa kidato cha nne unaotaraji kuanza kesho Bw Khamis
Mkundo mkazi wa Mwangata C katika Manispaa ya Iringa akiwa
amejinyonga usiku huu kuhofu mtihani wa kidato cha nne
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa wa Mwangata C Bw Sarehe Mgimwa akisoma ujumbe ulioachwa na marehemu huyu
Askari kanzu akikagua mwili wa mwanafunzi huyo leo
Wananchi wa Mwangata mjini Iringa wakiwa nyumbani kwa marehemu usiku huu
Mwili wa kijana huyo ukitolewa tayari kupelekwa chumba cha kuhifadhia maiti Hospital ya Rufaa ya mkoa wa Iringa
| Mwili huo ukipakiwa katika gari la polisi |
Mwanafunzi wa aliyekuwa akisoma
shule ya sekondari Sabasaba mjini Iringa akijiandaa kurudia
kufanya mtihani wa taifa wa kidato cha nne kupitia kituo cha
Krelluu mjini Iringa Khamis Mkundo mkazi wa Mwangata C katika
manispaa ya Iringa amejiua kwa kujinyonga kwa kamba kwa kile
alichodai kuchoshwa na kufeli mara kwa mara mtihani wa kidato cha nne.
Katika barua yake ndewfu
aliyoiandika kijana huyo amesema kuwa amefanya hivyo si kwa
kujipendea ila amechukizwa na hatua yake ya kufeli mara kwa mara
hiyo kuamua kujiua ili kuepuka na aibu katika mtihani ujao ambao
anaamini angefeli.
Shemeji wa kijana huyo Aden Tagalile
ameueleza mtandao huu wa www.matukiodaima.com kuwa tukio hilo
limetokea mida ya kati ya saa 12 na saa 1 usiku wa leo baada ya
kuwepo kwa mazungumzo ya muda mrefu kwa kijana huyo kuonyesha
kuchukia hatua yake ya kuendelea kuristi mtihani wa kidato cha nne
bila mafanikio.
Kwani alisema hajapenda kuona anaendelea kufeli na kuwa yupo tayari kwa lolote kukwepa aibu ambayo ipo mbele yake.
Hata hivyo kufuatia mazungumzo hayo
kijana huyo aliangana na ndugu zake akiwemo kaka yake anayeishi nae kwa
kila mmoja kuondoka nyumbani hapo kabla ya kijana huyo kukutwa
amejinyonga.
Mwenyekiti wa serikali ya mtaa huo
Sarehe Mgimwa amethibitisha kutokea kwa kifo hicho na kuonyesha ujumbe
ambao kijana huyo ameuacha .
Thursday, October 31, 2013
JAMAA ALITAKA KUTOROKA JELA
An overweight inmate who tried to escape
a Brazilian jail through a hole smashed through a prison wall had to be
rescued by firemen after he got stuck halfway through.
16-stone Rafael Valadao is surrounded by giggling guards after getting stuck in his escape hole
Rafael Valadão, the well-built tattooed convict, tried to follow one of his smaller fellow prisoners
who had already made a bid for freedom through the gap.
But he was left screaming for help when he became wedged while others tried to force him through the hole they had made with a metal shower pipe.
“He has a very large physique and is also very tall,” said Lieutenant Tiago Costa, of the local fire brigade.
“The other prisoners tried to push him but he stayed stuck in the wall. He started screaming in pain, and that was when the prison guards were alerted.”
The prisoner tried to break free late on Monday night at a prison in Ceres, near Goiania, according to Jornal Populacional.

Wednesday, October 30, 2013
BABU SEYA AKIWA MAHAKAMANI
Hapa akifatilia kesi kwa umakini zaidi
IMG_0058.JPG
Akiwa mahakamani chini ya ulinzi mkali na mwanae Papii Kocha
Wakiteta jambo na wakili wao maarufu Mabere Marando
Nyuso za matumani...
Johnson Nguza 'Papii' akibusu mkono wake baada ya kuibusu ardhi mara baada ya kutoka mahakamani.

Tuesday, October 29, 2013
MATUKIO NA MICHAPO BLOG: DARAJA LA KIKWETE KATIKA MTO MALAGARASI LAKAMILIKA...
MATUKIO NA MICHAPO BLOG: DARAJA LA KIKWETE KATIKA MTO MALAGARASI LAKAMILIKA...: Waziri wa Ujenzi Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli (Katikati) akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Msataafu Issa Machibya (kulia) pamoja na...
PAMOJA: VIONGOZI, WASANII NA WANANCHI WAJITOKEZA KUUAGA MW...
PAMOJA: VIONGOZI, WASANII NA WANANCHI WAJITOKEZA KUUAGA MW...: Marehemu Balozi Isaac Abraham Sepetu enzi za uhai wake Mh. Jaji Warioba akisaini kitabu cha Maombolezo leo mchana nyumbani kwa Mar...
Subscribe to:
Posts (Atom)